
Download Kontawa feat Nay wa Mitego – Champion Mp3
Artist Name: Kontawa
Music Title: Champion
Recorded: 2022 Music
Featured: Nay wa Mitego
Kontawa drops this impressive tune titled “ Champion“ featuring Nay wa Mitego.
Moreover, this classic entry was taken off Kontawa‘s newly released studio album titled ““.
After downloading this music, we highly need your comment, and that’s where we know if we are serving you good or Bad. Please comment below.
And again, please, always visit musicdownload.com.ng, to download New songs or album from all your favorite artists, Thanks
this song was released in 2022
Listen and Download below.
DOWNLOAD MP3: Kontawa feat Nay wa Mitego – Champion
(%OWS_vide
Kontawa feat Nay wa Mitego – Champion
Jam On The Beats
Eh!
Oya mitaa niliotoka
Police wanauza gongo
Hata uwe mkweli huwezi ishi bila uwongo
Mlo m’moja na bado tulibeba nondo
Na Maisha yakasonga tu
Eh!
Ili sabuni zisiishe tulinyoa madongo
Tulakala maharage adi tukacheza juu ya nondo
Oyah si’tumetokea Bongo na maisha ya nasonga tu oh yee
Nishazika wanagu nilowapenda
Ukija mtaani kwangu kutwa defender
Kukimbizana january mpaka december
Aaaah! eh eh!
Chumba kimoja wana lala kaka na dada
Watu hawatupi msosi hata ukichacha
Baba jambazi, mtoto anajiuza mataani
Mama mchawi nyumbani atabaki nani
Aaah yeee am the winner
Am the champioon
Aaah yeee am the winner
Am the champioon
Ehh!
Tumeishi na watu wanao amini
Kwenye mkono wa mungu kuna mkono wa mtu
Tumeishi na watu wanao amini
Sikukuu ndio siku ya kuchinjia kuku
Oyah we!
Tumeishi na watu wanao tembea na umeme
Lakini nyumbani walikosa luku (walikosa luku)
Eeh!! Tukaishi na watu ambao wanao amini kwamba
Bahati bahati zote alipangiwa Bukuku
Apo mwanzoni waliamini hatuto pata mafanikio
Walio tufagilia wakauza mafagio eh mtaani kwetu sio
Mtu aliotoboa sana alitoboa sikio
Chumba kimoja wana lala kaka na dada
Watu hawatupi msosi hata ukichacha
Baba jambazi, mtoto anajiuza mataani
Mama mchawi nyumbani atabaki nani
Aaah yeee am the winner
Am the champioon
Aaah yeee am the winner
Am the champioon
Champion! Champion!
Wimbo unanikumbusha mbali
Kipindi naitwa ‘Ima’ radharau, kejeli manyanyaso ka’yatima
Na ivyo ndo vimenikomaza mpaka leo nimesimama
Ahh! I thanks god kwa hii power na heshima
Niisha tembea kwa miguu toka Manzese mpaka temeke
Kuomba nafasi ya kuimba nabdo nayo sipati
Dharau zao na manyanyaso mli’fanya tamaa n’sikate (dah!!)
Pumzi inakata, kolo linakauka
Na bahati mbaya hata mdomoni sina mate!
N’kapiga moyo konde n’kamuomba mungu niongoze
Na nikaweka nia kwamba mziki utanilisha
Mziki utanivisha, mziki utanitajirisha
Maisha ya zamani hayafanani na ya sasa
Nisha sota sana acha tu nile bata
Ma deal mengi sikuizi, na sign angani
Naitwa “Raisi Wa Kitaa” napendwa mtaani
Aaah yeee am the winner
Am the champioon
(Champion! Champion! Champion!)
Aaah yeee am the winner
Am the champioon
(Champion! Champion! Champion!)
Mi’ nachekaga tu
Yeah!
Mafiaa
Leave a Reply