
Download Guardian Angel – ASANTE Mp3
Artist Name: ASANTE
Music Title: ASANTE
Recorded: 2022 Music
Category: Latest Music
ASANTE drops this impressive tune titled “ASANTE“.
After downloading this music, we highly need your comment, and that’s where we know if we are serving you good or Bad. Please comment below.
And again, please, always visit musicdownload.com.ng, to download New songs or album from all your favorite artists, Thanks
this song was released in 2022
Listen and Download below.
DOWNLOAD MP3: Guardian Angel – ASANTE
Guardian Angel – ASANTE
alinifunza mama unachotaka kupata maishani lazima uwenacho lazima ukiwaze akilini alinifunza mama utakachopata siku z usoni nikile uwazacho kile ulichonacho akilini kuna yule anataka kupata mume mzuri mke mzuri waishi naye kwa furaha furaha furaha furahaaa kuna wale wanakesha kuomba waweze kupata mtoto mzuri waishinaye kw furaha furaha furaha furahaa kuna yule anataka kupata nyumba mzuri na gari mzuri maisha yawe furaha furaha furaha furahaa ila mipango ya mungu ni differee different wewe kupata kukosa ni incident incident anacho panga kukupa ni differee different inakubidi uamini ni incident incident asante sana hata kama ni mekwama sana asante sana kwa mazuri na mabaya sana asante sana kwa uzuni n furaha sana asante sana ulalalala sana kama nilipanga niwe doctor kuwa mungu alipanga nisiwe doctor ndio nikiiba watu wanaokoka mapepo yanatoka wafu wanafufuka t k naye alipanga tofauti na mungu akamfanyia tofauti na sasa ndo anaitumia kumtumikia na kufanya maisha ya watu yawe tofauti kweli mipango ya mungu ni differee different wewe kupata kukosa ni incident incident anacho panga kukupa ni differee different nakubidi uwamini ni incident incident asanti sana hata kama nimekwama sana asanti sana kwa mazuri na mabaya sana asante sana kwa uzuni n furaha sana asante sana ulalalala sana
Leave a Reply